Search

153 results for Julieth Ngarabali :

  1. Waelezeni ukweli watoto kuhusu ukatili-wito

    Kibaha. Ikiwa wazazi na walezi wa watoto wa umri chini ya miaka nane wakijenga utamaduni wa kuwa karibu na watoto hao na kuwapa upendo na haki ya kujieleza, kunaelezwa ni moja ya njia rahisi...

  2. CCM yawakalia kooni viongozi wazembe Pwani

    Kibaha. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Organaizesheni Taifa, Issa Haji Ussi Gavu amesema CCM imepata taarifa ya kuwapo baadhi ya viongozi wa vijiji, vitongoji na mitaa...

  3. Watembelea kilometa 16 kufuata shule Kisarawe

    Halmashauri ya Wilaya Kisarawe mkoani Pwani imepewa siku 14 kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ya Kitanga iliyopo Kata ya Msimbu ili watoto zaidi ya 320 wa vitongoji vitatu wasitembee...

  4. Kunenge ataka watoto Pwani kusoma elimu zote

    Mkuranga. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amewataka wazazi na walezi kuwaacha watoto wao wapate elimu zote na sio ya madrasa pekee kwani zote hizo zina umuhimu kwa kizazi cha...

  5. RC Pwani atatua kero za maji papo hapo

    Wananchi katika Halmashauri ya Kibiti mkoani Pwani wametakiwa kuendelea kutumia maji kwa uangalifu na kulinda miundombinu ya maji sambamba na kuchangia gharama kidogo (bili za maji) kwa ajili ya...

  6. CCK yawachongea watumishi Pwani

    Chama Cha Kijamii (CCK) kimetaka kufanyika uchunguzi wa kina na kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria dhi ya watumishi wasio waaminifu ambao wamekuwa sababu ya migogoro ya ardhi maeneo...

  7. Wavuvi watano wafa maji Rufiji

    Pwani. Watu watano wamefariki dunia kwa kuzama maji na wengine wawili hawajulikani walipo baada ya boti waliokua wanasafiria kwa shughuli za uvuvi Wilayani Mafia Mkoani Pwani kugonga kingo za Mto...

    New Content Item (2)
  8. Tanroads Pwani watengeneza maeneo korofi tahadhari Elnino

    Katika kukabiliana na mvua za Elnino zilizotabiriwa kuonyesha Oktoba, Wakala wa Barabara Mkoa wa Pwani (Tanroads) imeanza na inaendelea kufanya matengenezo kinga katika barabara zake...

  9. Kamanda Misime akazia usalimishaji silaha

    Misime ataka watu kurejesha silaha wanazomiliki kinyume na sheria kwa sababu hawataguswa na mkono wa dola

  10. Kikwete atoa neno kwa Dk Biteko

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amemweleza Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko kwamba uteuzi wake katika nafasi hiyo ni uamuzi sahihi na kwa wakati ulio sahihi.

Page 1 of 16

Next